Rais John Magufuli amesema mafanikio yaliyopatikana kutokana na Muungano yamefanikishwa kutokana na juhudi za viongozi wa taifa na waasisi wa Muungano huo.
Rais Magufuli ambaye alihutubia katika sherehe za Muungano zilizofanyika Dodoma jana alisema Muungano huo umefanikiwa kwani mpaka sasa nchi za Unguja na Tanganyika zimetawaliwa na amani.
‘Ukiona vyaelea ujue vimeundwa, mafanikio haya yametokana na juhusi za viongozi wetu,” amesema
0 Post a Comment:
Post a Comment