Showing posts with label PICHA. Show all posts
Showing posts with label PICHA. Show all posts

ACT wamtaka Spika kufanya uchunguzi wa Sh1.5 trilioni zilizopotea

Chama cha ACT-Wazalendo, kimemuandikia barua Spika wa Bunge, Job Ndugai  kikimuomba kufanya uchunguzi maalumu kuhusu kiasi cha Sh1.5 tril...
Soma zaidi

RC Makonda awavaa vigogo wanaopinga kampeni yake

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wale wote wanaosema kampeni yake ya kuwasaidia akina mama waliotelekezwa na wat...
Soma zaidi

Mke wa aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush aaga dunia

Barbara Bush, mke wa aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani na mwanaharakati amefariki akiwa na umri wa miaka 92. Ndiye aliyekuwa nguzo y...
Soma zaidi

Cuba: Raul Castro kurithiwa na Makamu wake

Makamu wa rais nchini Cuba, Miguel Díaz-Canel, ametajwa na viongozi wa ngazi za juu nchini humo kuwa ndiye kiongozi mtarajiwa ajaye anaye...
Soma zaidi

Mamia ya watoto waliosajiliwa kupigana vita Sudan kusini waachiwa huru

Zaidi ya watoto 200 ambao wameajiriwa kwenye makundi yenye silaha nchini Sudani kusini wameachiwa ukiwa ni mpango wa kuunga mkono shirika...
Soma zaidi

Makamu wa Rais akutana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa London

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ...
Soma zaidi

Mambo muhimu ya kuhakikisha usalama wako mvua inaponyesha

Mvua kubwa imekuwa ikinyesha maeneo mengi Afrika Mashariki na kusababisha uharibifu wa mali na vifo. Nchini Kenya, watu zaidi ya 10 wam...
Soma zaidi

Nondo atoa mapendekezo kuboresha Sera ya 'Elimu Bure'

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania (TSNP), Mahmud Abdul Nondo amefunguka na kuitaka serikali ya Tanzania ku...
Soma zaidi

Fahamu zaidi kuhusu Jumuia ya Madola

Viongozi wa jumuia ya madola wanakutana London yafuatayo ni mambo saba ya kufahamu: 1) karibu theluthi ya watu duniani ni wanachama wa ...
Soma zaidi