Rais wa Hungary apitisha sheria tata ya elimu
Rais wa Hungary Janos Ader ameiridhia sheria mpya kuhusiana na taasisi za kigeni katika elimu ya juu, licha ya siku kadhaa za maandamano.
Wapinzani wanasema sheria hiyo imeundwa ili kuharibu chuo kikuu cha kati ya ulaya ,ambacho kina fadhiliwa na raia wa Marekani bilionea George Soros, mkosoaji wa upande wa mrengo wa kulia wa waziri mkuu Viktor Orban.
Chini ya sheria hiyo mpya, tamko , la rais Ader alisema kwa ukarimu wa pamoja, utendaji kazi wa vyuo vikuu wa kigeni katika Hungary ungeendelea.
0 Post a Comment:
Post a Comment