Zitto Kabwe aachiwa kwa dhamana

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM=>
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana ya milioni 50 baada ya kushikiliwa na polisi mkoani Morogoro jana Alhamisi. Amedhaminiwa na wakili wake, Emmanuel Mvula.

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro tangu jana Februati 22 kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko bila kibali.

Zitto yuko katika ziara ya mikoa minane yenye madiwani wa ACT Wazalendo.

Anatakiwa kuripoti Polisi Kituo Kikuu cha Polisi cha Mkoa wa Morogoro Jumatatu, Machi 12.
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: