Bomba la mafuta: Profesa Kabudi atia saini ujenzi wa bomba la mafuta


26 Mei 2017


Waziri wa Katiba na Sheria Profesa  Palamagamba
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa  Palamagamba Kabudi ametia saini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga.
 Mkataba huo umesainiwa mjini Kampala leo na utarajiwa kukamilika ifikapo 2020 na hivyo kufanikisha usafirishwaji wa mafuta kwenda nchi mbalimbali duniani.
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: