Mafuriko Zanzibar yasababisha madhara makubwa

12 Mei 2017


Shule zote katika kisiwa cha Zanzibar zimefungwa kwa muda kutokana na mvua kali ambayo imesababisha mafuriko.




Mvua zinazoendelea katika eneo la Afrika mashariki zimeendelea kusababisha madhara katika baadhi ya maeneo hususani ya ukanda mwa Bahari ya Hindi.

Mvua zimeendelea kunyesha huko Zanzibar hadi leo hii .

Rais wa Zanziba amewataka watu walio katika maeneo ya bondeni wahame lakini bado hawajatekeleza hadi sasa.
Visiwa vya Zanzibar bado viko katika hali ya mafuriko kutokana na Mvua hizi na hata ilifikia serikali kuzifunga shule zote kwa muda pamoja na kuwataka wanaokaa maeneo yenye mabonde kuyahama makazi yao.
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: