Trump yuko Ubelgiji kwa mazungumzo ya Nato


25 Mei 2017

Baada ya kuwasili mjini Brussels, bwana Trump alikutana na mfalme na malkia wa Ubelgiji
Baada ya kuwasili mjini Brussels, Bwana Trump alikutana na mfalme na malkia wa Ubelgiji

Maandamano ya k,upinga ziara ya Trump Ubelgiji yalifanyika Brussels
Maandamano ya k,upinga ziara ya Trump Ubelgiji yalifanyika Brussels



Rais wa Marekani Donald Trump yuko mjini Brussels kwa kile kinachotajwa kuwa mazungumzo magumu na wanachama wa Nato.
Trump anatarajiwa kukutana na maafisa wa Ulaya leo Alhamisi. Amekuwa mkosoaji wa NATO na Muungano wa Ulaya.
Baada ya kuwasilia mjini Brussels, Bwana Trump alikutana na mfalme na malkia wa Ubelgiji huku maelfu ya watu wakiandamana kupinga kuwepo kwake mjini Brussels.
Mapewma Trump alikutana kwa muda mfupi na Papa Francis huko Vatican.
Haki miliki
Bwana Trump amewalamua wanachama wengine wa NATO kwa matumizi ya chini kwa ulinzi kuliko kiwango kilichoafikiwa cha asilimia mbili ya pato la nchi.
Kabla ya mkutano wa leo Alhamisi , waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Rex Tillerson aliwaambia waandishi wa ahabriu kuwa Trump anataka kuwashinikiza wanachama wa NATO kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Bwana Tillerson alisema kuwa Rais Trump ambaye ameshinikizwa na mataiafa ya Ulaya kuunga mkono mkataba kuhusu hali ya hewa wa Paris, bada hajafanya uamuzi ikiwa Marekani iatajiondoa kwenye makubaliano hayo.
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: