MKWEWE TRUMP, KUSHNER ANATARAJIA KUIZURU RASMI IRAQ.

Jared Kushner na mkewe Ivanka TrumpHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionJared Kushner na mkewe Ivanka Trump
Mkwewe Donald Trump ambaye pia ni mshauri mkuu wa Ikulu ya Marekani, Jared Kushner, anafanya ziara rasmi nchini Iraq.
Afisa mmoja wa utawala wa Trump amethibitisha kuwa Kushner anasafiri na Jenerali Joseph Dunford, mwenyekiti wa wakuu wa majeshi ya Marekani.
Dhamira ya ziara hiyo haijabainishwa wazi.
Waziri mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amekutana na rais Trump kwa mara ya kwanza tarehe 20 mwezi Machi.

Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: