Mnyeti naye kuhojiwa na Kamati ya Bunge

Mnyeti naye kuhojiwa na Kamati ya Bunge

  


Mkuu wa Wilaya Arumeru Alexander Mnyeti
Mkuu wa Wilaya Arumeru Alexander Mnyeti 
By Sharon Sauwa, Mwananchi ssauwa@mwananchi.co.tz
Dodoma. Mkuu wa Wilaya Arumeru Alexander Mnyeti ameitwa na Bunge kuhojiwa kuhusiana na tuhuma za kulidhalilisha Bunge.
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema hayo leo  mara  baada ya kipindi cha maswali na majibu bungeni.
Amesema Mnyeti ameitwa leo  baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, kinga na madaraka ya Bunge

 
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: