SHERIA YA KUZUIA WANAUME KUOA ZAIDI YA MKE MMOJA NIGERIA

Lamido SanusiHaki miliki ya pichaAFP
Image captionLamido Sanusi
Mmoja wa viongozi wakuu wa kiislamu nchini Nigeria anasema kuwa atatangaza sheria ambayo itawazuia wanaume kuoa zaidi ya mke mmoja.
Kiongozi huyo kutoka jimbo la Kano Lamido Sanusi, anasema kuwa tamaduni ya kuoa wake wengi imechangia kuwepo ugaidi kaskazini mwa nchi.
Dini ya kiislamu inamruhujsu mwanamume kuoa hadi wake wanne.


    Lakini kiongozi huyo anasema kuwa baadhi ya wanaume wa kiislamu hawana uwezo wa kutunza familia kubwa.
    Share on Google Plus

    ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

    Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

    0 Post a Comment: