Marekani na Uchina zatia saini mkataba wa kibiashara


12 Mei 2017

Rais wa jamhuri ya raia wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Donald Trump
Rais Xi Jinping na rais Donald Trump
Marekani na Uchina wameafikiana juu ya mkataba wa kibiashara ambapo Marekani itapata nafasi ya kuuza nyama nje ya nchi.
Vingine ambavyo Marekani itaweza kuuza nje ya nchi ni gesi ya kupika na kuweza kushirikiana katika sekta ya fedha.
Kuku waliopikwa kutoka Uchina watauzwa katika masoko ya Marekani nayo Marekani itasaidia benki za Uchina kuanzisha biashara nchini humo.
Waziri wa biashara nchini Marekani, Wilbur Ross, alipongeza mkataba huo.
Alisema uliafikiwa kwa muda mfupi na utaweza kuhakikisha kuwa  Marekani inauza bidhaa nyingi zaidi kwa Uchina ifikiapo mwisho wa mwaka.

Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: