Korea Kaskazini yakataa mazungumzo na Korea Kusini

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM

Zachary Bequeker +255 625 966 236

7 Agosti 2017

South Korean Foreign Minister Kang Kyung-wha talks to an ASEAN foreign minister during the ASEAN-Republic of Korea (ROK) Ministerial Meeting in Philippine International Convention Center in Pasay city, metro Manila, Philippines 6 August 2017.

Mawaziri wa Korea Kaskazini na Kusini wafanya mkutano Manila

Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Kang Kyung-wha alikuwa ametoa pendekezo hilo kwa mwenzake wa Korea Kaskazini Ri Yong Hi, pembezoni mwa mkutano wa kikanda siku ya Jumapili huko Manila, Ufilipino.
Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini vilisema kuwa hakutakuwa na mazungumzo kuhusu mpango wake wenye uta wa nuklia wakati inakumbwa na vitisho kutoka Marekani.
Pia ilipinga vikwazo vipya ilivyowekewa na Umoja wa Mataifa siku ya Jumapili
Msukosuko umeshuhudiwa katika rasi ya Korea miezi ya hivi karibuni huku majaribio kadha ya makombora yakifanywa na Korea Kaskazini.Baraza la ulinzi la Umoja wa Mataifa siku ya Jumapili lilipiga kura kuwekea Korea Kaskazni vikwazo zaidi.
Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini viliripoti kuwa Bi Kang alisalimiana kwa mkono na bwana Ri wakati wa mkutano uliokuwa mfupi ulioandaliwa na nchi za Asean.
People's Republic of China Foreign Minister Wang Yi greets North Korean Foreign Minister Ri Yong Ho, during a bilateral meeting at Manila, Philippines 6 August 2017.
Waziri wa Korea Kaskazini Ri Yong Ho (kushoto

Nijuze habari kwa 0625 966 236
Haki miliki ya picha

Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: