Upinzani walia muingiliano majukumu ya wizara


4 Mei 2017


Kambi ya upinzani bungeni imesema kuna mwingiliano wa kimajukuni ya wizara ya Afya, Tamisemi na  Utumishi pale linapokuja suala la uwajibikaji.
Akiwasilisha maoni ya kambi kwa niaba ya msemaji wa kambi hiyo kwa bajeti ya wizara ya Afya, Ester Bulaya amesema kutokana na muingiliano huo wamekuwa wakitupiana mpira.                       
"Serikali imekuwa ikijigamba kuwa afya ni kipaumbele chake, lakini utekelezaji  ni kinyume chake kutokana na bajeti finyu inayotolewa,"                       
"Awamu ya nne ilishasema itasimania huduma za wazee na kutoa mafao kwa wazee wote, lakini awamu ya tano imeweka kapuni."                       
Amesema Serikali iache kutenga bajeti kubwa isiyotekelezeka kwa malengo ya kisiasa badala yake iwe inapanga mipango inayotekelezeka.                        
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: