Marekani yaijibu Korea Kaskazini kwa mazoezi ya kijeshi

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM






Marekani imesema kuwa kuwa imefanikiwa kuufanyia majaribio mtambo wake wa kujikinga dhidi ya makombora, na kurusha ndege zake aina ya B-1 bomber katika rasi ya Korea.
Zoezi hilo ni jibu la moja kwa moja kwa majiribi ya hivi punde ya makombora yanayofanywa na Korea Kaskazini.
Kombora lililofyatuliwa na jeshi la wanahewa la Marekani katika anga za habari ya Pacific liliharibiwa na kombora la Thaad.
Ndege za Marekani za B-1 bombers pia zilifanya mazoezi katika eneo la rasi ya Korea zikishirikisha ndege za Korea Kusini na Japan.
A Terminal High Altitude Area Defense (THAAD) interceptor is launched during a successful test, 29 July 2017
Kombora lililofatuliwa na jeshi la wanahewa la Marekani katika anga za habari ya Pacific liliharibiwa na kombora la Thaad.

Siku ya Ijumaa Korea Kusini ilifanya jaribio la pili la kombora la masafa marefu ICMB ambalo ilisema kuwa linaweza kushambulia Marekani.
Jaribio hilo lilifanyika majuma matatu baada ya lile la kwanza la masafa marefu.
Siku ya Jumamosi rais wa Marekani Donald Trump aliilaumu China kwa kutoidhibiti Korea Kaskazini katika mipango yake ya nuklia kwa kufanya biashara ya mabilioni ya dola na Korea Kaskazizi.Thaad system launcher
Kombora lililofatuliwa na jeshi la wanahewa la Marekani katika anga za habari ya Pacific liliharibiwa na kombora la Thaad.
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: