Polisi wawasili eneo walilovamiwa wana CUF

 

 

 Polisi inawahoji wanachama wa CUF waliovamiwa na watu waliovaa ‘mask’ katika ukumbi wa Vina Hoteli, Mabibo leo.
 Polisi imeshafika eneo la tukio na inawahoji wanachama hao  wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad waliokuwa wakifanya mkutano wao wa ndani.
 Pia Polisi inawahoji waandishi wa habari waliopo eneo la tukio.
Inaelezwa kuwa watu wanne, waliovaa soksi nyeusi usoni (mask) walivamia mkutano huo wa CUF wakiwa na mapanga na bastola.
Tutaendelea kukujuza yanayoendelea  kuhusu habari hii.
 
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: