Uchaguzi mwingine wa Eala kufanyika Mei 10





 Katibu wa Bunge, Thomas Kashililah, amesema uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki(Eala) utafanyika Mei 10 mwaka huu.
Kashililah aliliambia bunge jana kuwa uteuzi wa majina ya watakaogombea uchaguzi huo utafanywa na vyama Mei 3 na uchaguzi ni Mei 10.
Chadema ilishindwa kupata wawakilishi wa wabunge wa Eala baada ya majina waliyoyapeleka, kupigiwa kura ya hapana.
 Chadema kiliwateua Lawrence Masha  na Ezekia Wenje kuwania ujumbe wa bunge hilo la Eala.

 Mshirikishe Mwenzako: zakacheka.blogspot.com
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: