Jeshi la zima moto na uokoaji Kinondoni lasikitishwa na wezi wa vifaa

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM=>

Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Kinondoni limesikitishwa na baadhi ya wananchi wanaoiba koki za visima maalum vya Maji ya kuzimia moto na kuviuza kama vyuma chakavu jambo ambalo limekua likirudisha nyuma jitihada źa kuzima moto katika baadhi ya maeneo kutokana na miundombinu hiyo kuharibiwa.

•Tuma habari picha WhatsApp kwa 0625966236
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: