Zimbabwe:Mnangagwa awaahidi mema Wakulima

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM=>

Rais mpya wa Zimbabwe amesema kuwa jukumu lake halitatekelezwa kupitia hutuba.

"Lazima nianze kazi....
Tutaanza kazi kwa haraka kutoka pale alipowachia aliyekuwa rais wetu Robert Mugabe.
Hatuwezi kubadili yaliopita, kuna mengi ambayo tunaweza kufanya kwa sasa ili kulipatia taifa letu mwelekeo mpya.
Hatuwezi kukubali kuwa watumwa wa yaliopita." Amesema Mnangagwa
Amesema kuwa mabadiliko ya umiliki wa ardhi yalifanyika na hayawezi kubadilishwa kwa kuwa huo utakuwa ukiukaji mkuu wa upiganiaji wa Uhuru.
Lakini rais huo mpya ameahidi kuwalipa wakulima waliopoteza mashamba yao katika sera tata iliotekelezwa na utawala wa rais MUgabe.
•Tuma habari picha WhatsApp kwa 0625966236
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: