Mbunge: Huyu Nondo ana umaarufu gani?

Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby amehoji sababu ya Serikali ikiwemo idara ya uhamiaji nchini kushindwa kutimiza wajibu wao kwa kuchunguza uhalali wa uraia wa watu wake na baadala yake kutafuta sifa kwenye vyombo vya habari.
Mfano kama huyu kijana Abdul Nondo ana umaarufu gani mpaka mumuite kwa kutumia vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kujua uraia wake? Hii ni kuichafua Serikali  – Ahmed Shabiby

Download App YETU hapa⬇⬇



Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: