Mtoto azaliwa miaka 4 baada ya wazazi wake kufariki

Mtoto azaliwa miaka 4 baada ya wazazi wake kufariki

Mtoto amezaliwa China kupitia mwanamke aliyebeba uja uzito, miaka minne baada ya wazazi wa mtoto kufariki ktaika ajali ya gari, vyombo vya...
Soma zaidi
DRC yasusia mkutano wa Umoja wa mataifa Geneva ulioandaliwa kuisaidia nchi hiyo

DRC yasusia mkutano wa Umoja wa mataifa Geneva ulioandaliwa kuisaidia nchi hiyo

Umoja wa mataifa hii leo unafanya mkutano maalum mjini Geneva Uswizi kuchangisha fedha za kukabiliana na janga la kibinaadamu katika Jamhu...
Soma zaidi
Baba amnywesha sumu mwanae aliyezaa na Mchepuko ili kulinda ndoa

Baba amnywesha sumu mwanae aliyezaa na Mchepuko ili kulinda ndoa

Mtoto wa miezi miwili (jina limehifadhiwa) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amedaiwa kunyeshwa sumu na baba yake mzazi kwa madai ya kutaka ...
Soma zaidi
Wanaume 18 Kupima DNA, Familia 179 zafikia muafaka kwa Makonda

Wanaume 18 Kupima DNA, Familia 179 zafikia muafaka kwa Makonda

Wanaume 18 kati ya waliofika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuhojiwa kuhusu kutelekeza watoto wamekubali kupimwa vinasaba (DNA...
Soma zaidi
Sh bilioni 550 hulipa mishahara na Sh bilioni 600 hulipa deni la taifa

Sh bilioni 550 hulipa mishahara na Sh bilioni 600 hulipa deni la taifa

Baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuonyesha kuwa makusanyo ya serikali yanafikia lengo kwa takri...
Soma zaidi