Bia itokanayo na mkojo yatengenezwa Denmark


 9 Mei 2017

Mkojo huo ulikusanywa kutoka kwa hafla moja kubwa zaidi ya muziki barani ulaya miaka miwili iliyopita
Kiwanda kimoja cha pombe nchini Denmak kimetengeneza bia mpya ambapo ngano huchanganywa na lita 50,000 za mkojo
Hqta hivyo bia hiyo haitakuwa na mkojo wa binadamu.
Mkojo huo ulikusanywa kutoka kwa hafla moja kubwa zaidi ya muziki barani ulaya miaka miwili iliyopita
"Wakati habari kuwa tulikuwa tumeanza kutengeneza pombe zilifichuka, watu walidhani kuwa tilikuwa tukiweka mkojo huo moja kwa moja kuenda kwa pombe," alisema mkurugenzi wa kampuni ya Norrebro Bryghus.Bia hiyo haina ladha ya mkojo kabisa
Haki miliki ya pic
"Kama ingekuwa na ladha ya mkojo ningeachana nayo, lakini hata huwezi ukahisi," alisema mtu moja ambaye alihudhuria warsha hiyo ya muziki mwaka 2015.,
Lita hizo 50,000 zilizokusanywa kutoka kwa warsha hiyo ya muziki zilitosha kuunda chupa 60,000 za bia.
Mashini iliyotengenezwa na kundi la wanasayansi katika chuo kimoja nchini Ubelgiji, inabadili mkojo wa binadamu na kuwa maji ya kunywa pamoja mbolea ikitumia nguvu za miale ya jua.Mashini iliyotumika ilitengenezwa na kundi la wanasayansi katika chuo kimoja nchini Ubelgiji,
Haki miliki ya pic
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: