Trump: Ninakosa maisha yangu ya zamani


  • 28 Aprili 2017
Trump alisema aliyapenda maisha yake ya zamani kwa sababu ni mengi yalikuwa yakifanyika,
Trump alisema aliyapenda maisha yake ya zamani kwa sababu ni mengi yalikuwa yakifanyika
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akizungumza kuhusu maisha ya awali kabla ya kuwa rais na kueleza jinsi wajibu wake huo mpya katika Ikulu ya White House ni ngumu.
Trump alisema aliyapenda maisha yake ya zamani kwa sababu ni mengi yalikuwa yakifanyika, alipozungumza na shirika la habari la Reuters akiwa White House.
"Hii ni kazi nyingi zaidi kuliko ya maisha yangu ya awali, alisema. "Nilifikiri itakuwa rahisi."
Matamshi yake Trump ya kuwa rais yamejadiliwa katika mitandao ya kijamii, wengi wakielezea mshangao wao.
"Ninakosa maisha yangu ya awali," alisema Trump.


Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: