Utafiti: Kerengende wa kike ''hujiuwa'' ili kukwepa tendo la ngono


  • 29 Aprili 2017
Kerengende wa kike hujifanya wamekufa ili kukwepa tendo la ngono na wenzao wa kiume
Kerengende wa kike hujifanya wamekufa ili kukwepa tendo la ngono na wenzao wa kiume
Utafiti mpya umebaini kwamba kerengende wa kike huwa anajifanya kuwa amekufa ili kukwepa wenzao wa kiume.
Rassim Khelifa, kutoka chuo kikuu cha Zurich Switzerland, anasema kwamba aliona kerengende wa kike aliyekuwa akifuatwa na wa kiume ili kufanya mapenzi, akijiangusha na kulala kana kwamba amefariki, hadi pale kerengende wa kiume alipoondoka.
Ripoti hiyo imechapishwa kwenye jarida la ikolojia.
Bwana Khelifa amesema kuwa kerengende wa kike hunyanyaswa kwa sababu huwa hawana ulinzi baada ya kutaga mayai ikilinganishwa na kerengende wengine.
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: