Polisi Uingereza yamkamata mtu aliyehusika na shambulio mjini Manchester


26 Mei 2017

Mwanajeshi wa kikosi cha kutegua mabomu
Mwanajeshi wa kikosi cha kutegua mabomu
Polisi wamemkamata mtu mmoja mjini Manchester akihusishwa na shambulizi lilitokea jumatatu mjini humo, shambulio lililogharimu maisha ya watu 22.
Polisi mjini humo wamesema ni mmoja kati ya watu wanane ambao wako chini ya ulinzi kwa uchunguzi.
Polisi wanaamini kuwa mtu aliyejitoa muhanga Salman Abedi, 22 ametokea katika familia yenye asili ya Libya ,na alikuwa sehemu ya mtandao uliohusika na shambulizi hilo.
Kwa jumla watu 10 wameshikiliwa Uingereza lakini wawili waliachiwa baadae.
Uingereza hali bado si shwari hii inamaanisha shambulio jingine linaweza kutokea.
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: