KOREA KASKAZINI YAONGEZWA KWENYE ZUIO LA KUINGIA MAREKANIA

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM

25 Sep 2017Trump
Raia wa kigeni wanaoingia nchini Marekani


iMarekani imepitisha vikwazo vipya vya zuio la kuingia nchini humo,ikiiongeza nchi ya Korea kaskazini raia wake kutoingia katika taifa hilo ambapo mengine yaliyoingizwa katika vikwazo hivyo ni Venezuela na Chad .
Sababu zilizopelekea Marekani kuweka vikwazo kwa raia wa nchi hizo kuingia nchini humo ni pamoja na usalama wa nchi zao kuwa duni na ukosefu wa ushirikiano.
Hatua hiyo ya Marekani imetoa masharti tofauti kati ya nchi na nchi ambapo Venezuela,wale waliozuiwa ni wafanyakazi wa serikali na familia zao.
Sudan nayo imeondolewa katika nchi sita za kiisamu ambazo Rais Trump alikuwa ameziwekea vikwazo.
Nchi ambazo bado ziko kwenye marufuku ya Rais Trump ni pamoja na Iran,Libya,Somalia na Yemen.
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: