AUSTRALIA:NDOA ZA JINSIA MOJA, SASA RUKSA!

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM

Australia imekuwa sherehe, nderemo na vifijo kwa wananchi wa Australia kufuatia 61% kupiga kura ya ndio kupitisha maoni ya kuwa na ndoa za jinsia moja, na 38% kati yao kupinga.

Aidha, Waziri mkuu wa taifa hilo amelitaka bunge kupitisha sheria hiyo kabla ya Christmas.

Tuma habari picha kwa WhatsApp 0625966236
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: