Rais wa Nigeria Mohammadu Buhari ameunga mkono mpango wa kuwafuta kazi zaidi ya walimu 20,000 walifeli mitihani

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM

Rais wa Nigeria Mohammadu Buhari ameunga mkono mpango wa kuwafuta kazi zaidi ya walimu 20,000 ambao walifeli mitihani katika jimbo la kaskazini la Kaduna.
Buhari aliitaja hali hiyo ku mbaya.
"Ni jambo la kusikitisha kuwa wakimu hawezi kupita mitihani ambayo wanastali kuwafunza watoto, ni jambo baya sana."
Gavana wa jimbo hilo wiki iliyopita alichapissa makaratasi yaliyuwa yamesahihishwa kwenye mtandao wa Twitter akisema kuwa walimu hao walikuwa wamefeli mtihani kwa darasa la nne ambao unastahili kufanywa na wanafuzi wa umri wa miaka 10.
Alisema kuwa walimu hao watafutwa lakini wanaweza tena kutuma maombi katika shughuli mpya ya kuwaajiri walimu ikiwa wanahisi wana ujuzi unaostahili.
Msemaji wa gavana Samuel Aruwan alisema kuwa shughuli hiyo itakamilika mwezi Februari mwaka 2018.
Alisema kuwa maombi ya kazi 19,000 yamepokelewa kuchukuaa mahala pa walimu hao ambao hawakupata hata alama 75 kwenye mtihani huo.
Vyama vya wafanyakazi hata hivvyo vimepinga hatua hiyo ya kuwafuta walimu.

Tuma habari picha WhatsApp 0625966236

Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: