Manuwari za China zawasili Ufilipino


  • 1 Mei 2017
Maeneo yanayodaiwa na China
 Maeneo yanayodaiwa na China
Manuwari za Uchina zimewasili Ufilipino kwa mara ya kwanza baada ya miaka saba huku Ufilipino ikiimarisha uhusiano wake na Uchina.
Manuwari hizo tatu zilitia nanga mjini Davao.
Ziara hiyo inafanywa siku moja baada ya mkutano wa nchi za Kusini Mashariki mwa Asia, ambao ulifanywa Ufilipino ambapo malalamiko dhidi ya harakati za Uchini katika Bahari ya Kusini ya Uchina, hazikuzungumzwa sana.
Kabla ya Rodrigo Duterte kuwa rais wa Ufilipino, nchi hiyo ikilalamika vikali juu ya hatua za Uchina katika bahari hiyo.
China imekuwa ikijenga visiwa kusini mwa bahari ya ChinaHaki miliki ya picha
China imekuwa ikijenga visiwa kusini mwa bahari ya China
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: