Serikali yazifutia usajili taasisi 181

 

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba

 Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) umefuta usajili wa taasisi 181 baada ya kufanya mapitio ya bodi za wadhamini za taasisi zilizosajiliwa ili kufahamu uhalali wake.
Hayo yameelezwa leo bungeni na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi wakati akiwasilisha bajeti yake  kwa Mwaka wa Fedha 2017/18.




                                          comment, like and share 
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: