Dk Shein ziarani Djibouti


8 Mei 2017


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, ameondoka nchini kwenda Jamhuri ya Djibouti kwa ziara ya siku tatu kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Ismail Omar Guelleh.

Ziara hiyo ya Dk Shein ilianza jana na itamaliza Jumanne Mei 9.

 Ataanza ziara yake kwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Djibout, Ismail Omar Guelleh.

 Aidha, katika ziara yake hiyo, Dk. Shein atatembelea miradi mbalimbali ya maendeleo nchini humo.

Mshirikishe Mwenzako: zakacheka.blogspot.com
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: