Wakimbizi wampa mtoto wao jina la waziri mkuu wa Canada

Wakimbizi wampa mtoto wao jina la waziri mkuu wa Canada


8 Mei 2017
Wakati Muhammad na Afraa Bilan waliwasili Canada mwezi Februari mwaka uliopita, walikuwa wameanza maisha mapya katika nchi tofauti kabisa.
Wakitokea mjini Damscus nchini Syria, wawili hao pamoja na binti yao Naya na Nael, ambaye ni mtoto wa kiume waliwasili mjini Montreal kama wakimbizi.
Waziri mkuu Justin Trudeau hakuwepo kuwakaribisha kati uwanja wa ndege vile alifanya wakati wakimbizi wengine waliwasili.
Lakini wanandoa hao walihisi kuwa walistahili kumshukuru kwa njia nyingine, na hivyo walimpa mtoto wao aliyezaliwa nchini Canada jina la waziri mkuu Justin Trudeau.
Mjini Damascus Muhammad alikuwa akifanya kazi kama kinyozi. Lakini wakati mmoja alishikwa na jeshi la Syria na kufungwa.
Haki miliki Image 
Justin Trudeau Adam Bilan alizaliwa siku ya Alhamisi katika mji wa Calgary.
Mjini Damascus Muhammad alikuwa akifanya kazi kama kinyozi. Lakini wakati mmoja alishikwa na jeshi la Syria na kufungwa.
Baada ya kuachiliwa familia yake iligundua kuwa mamlaka zilikuwa zikimtafuta tena na kwamba angefungwa.
Fusra ya kuondoka nchini humo iliwadia wakati waligundua kuwa Canada ilikuwa ikiwachukua wakimbizi wa Syria baada ya bwana Trudeau kuingia ofisini
Miaka mitano ya vita nchini Syria , walifanikiwa kupata fursa hiyo.
Justin Trudeau Adam Bilan alizaliwa siku ya Alhamisi katika mji wa Calgary.
Mtoto Justin Trudeau Adam Bilan
Haki miliki ya p
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: