7 Mei 2017
Katika mkutano huo Lowassa na Maalim walijadiliana masuala ya siasa ikiwamo migogoro ya ndani ya CUF na namna ya kuimarisha umoja na mshikamano wa umoja wa vyama vya upinzani.
Maalim Seif, ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu wa Zanzibar na Lowassa ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema.
0 Post a Comment:
Post a Comment