Ajali: Majonzi miili ya watoto na walimu wa shule Lucky Vicent Arusha ilivyoagwa






Ni huzuni kubwa kwa ndugu zetu kututoka .

Pole kwa watu wote walioguswa na msiba huu, Mungu awatie nguvu wapendwa wote.

Ni kweli tuliwapenda , lakini Mungu aliwapenda zaidi.

Mungu atulinde sote tuliobaki, atutie nguvu na atufariji katika kipindi hiki kigumu kama taifa kwa ujumla   .......Amen!

Mshirikishe Mwenzako: zakacheka.blogspot.com
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: