MWANAMUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA RISASI KISHA NAYE KUJIUA


27 Mei 2017



 Mkazi wa Mahina, jijini Mwanza, aliyefahamika kwa jina moja la Max, anadaiwa kumuua mke wake, Teddy Malulu kwa kumpiga risasi usiku wa kuamkia jana.

Baada ya kufanya mauaji hayo, Max naye anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi.

 Bonyeza hapa kwa habari zingine: zakacheka.blogspot.com  +255 625966236
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: