Wanachama wa Chadema waamua kusaidiana jijini Mwanza

ZAKACHEKA.BLOGSPOT.COM

Wanachama wa Chadema wakiwa msibani Bugarika sokoni jijini Mwanza

Wanachama wa Chadema wakiwa msibani kata ya Mahina Jijini Mwanza
Kutokana na utaratibu wa chama wa kuwa na matawi na kushirikiana kwa Maafa na mambo mengine.
Chama hicho kimeanza kujitanua kwa kasi kwa njia hiyo, hadi sasa kimefikisha zaidi ya matawi 20 na mengine yakiwa mbioni kujiunga.
Wanachama wa Chadema wakiwa Kata ya Kirumba jijini Mwanza

Watu wengi wamekuwa wakivutiwa sana na mfumo huo hivyo kuamua kujiunga na chama hicho.
Wanachama wa Chadema wakiwa Bugarika, Kata ya Pamba jijini Mwanza


Jambo linalowavutia watu wengi ni namna ambavyo kila mwanachama anavyothaminiwa bila kujali kuwa ni kiongozi katika chama au ni mwanachama wa kawaida.
Wanachama wa Chadema wakiwa msibani Kata ya Kirumba 


Hata upande wa pili wameanza kurudisha kadi na kusema kuwa utaratibu huo ni mzuri wala CCM hawakuwa nao.

Hakika wanachama wa Mwanza ni mfano wa kuigwa na mikoa mingine.

Tuma habari,picha kwa WhatsApp 0625966236 




Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: