YOUR PASTOR IS NOT YOUR BIBLE, MCHUNGAJI WAKO SIYO BIBLIA YAKO





Na Ev. Zachary John Bequeker





ZABURI 119:105 “105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na
mwanga wa njia yangu.”

Neno la Mungu ndiyo taa yetu

Mchungaji wako siyo biblia yako
Mchungaji wako siyo taa yako
Hakikisha unasoma BIBLIA kila siku
Neno la Mungu ni KWELI
Mchungaji wako hawezi kukufundisha mambo yote lakini neno la
Mungu linakufundisha yote
Your Pastor is not your bible,
Make sure you read yourn Bible everyday

The word of God is truth
Neno la Mungu limehakikishwa.
MITHALI 30:5 “5 Kila neno la Mungu limehakikishwa; Yeye ni
ngao yao wamwaminio.”
Neno la Mungu haliwezi kufa
Neno la Mungu haliwezi kukutenga
ISAYA 40:8 “8 Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la
Mungu wetu litasimama milele.”

2 SAMWELI 22:29-31 “29 Kwa kuwa wewe u taa yangu, Ee Bwana;
Na Bwana ataniangazia giza langu.
 30 Maana kwa msaada
wako nafuatia jeshi; Kwa msaada wa Mungu wangu naruka ukuta.
 31 Mungu njia yake ni
kamilifu; Ahadi ya Bwana imehakikishwa; Yeye ndiye ngao yao Wote
wanaomkimbilia.”

MAWASILIANO: +255625966236 / +255758590489 /
+255673590489                                        
   KWA MAFUNDISHO
ZAIDI TEMBELEA BLOG HII: www.zakachekainjili.blogspot.com                   
  YOUTUBE: Zachary John
Bequeker



Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: