Showing posts with label PICHA. Show all posts
Showing posts with label PICHA. Show all posts

ACT wamtaka Spika kufanya uchunguzi wa Sh1.5 trilioni zilizopotea

Chama cha ACT-Wazalendo, kimemuandikia barua Spika wa Bunge, Job Ndugai  kikimuomba kufanya uchunguzi maalumu kuhusu kiasi cha Sh1.5 tril...
Soma zaidi

RC Makonda awavaa vigogo wanaopinga kampeni yake

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wale wote wanaosema kampeni yake ya kuwasaidia akina mama waliotelekezwa na wat...
Soma zaidi

Mke wa aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush aaga dunia

Barbara Bush, mke wa aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani na mwanaharakati amefariki akiwa na umri wa miaka 92. Ndiye aliyekuwa nguzo y...
Soma zaidi

Cuba: Raul Castro kurithiwa na Makamu wake

Makamu wa rais nchini Cuba, Miguel Díaz-Canel, ametajwa na viongozi wa ngazi za juu nchini humo kuwa ndiye kiongozi mtarajiwa ajaye anaye...
Soma zaidi

Mamia ya watoto waliosajiliwa kupigana vita Sudan kusini waachiwa huru

Zaidi ya watoto 200 ambao wameajiriwa kwenye makundi yenye silaha nchini Sudani kusini wameachiwa ukiwa ni mpango wa kuunga mkono shirika...
Soma zaidi