Rais Magufuli amewasili uwanjani maadhimisho ya Mei Mosi


 1 Mei 2017



Rais John Magufuli amewasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani(Mei Mosi).
Viongozi mbalimbali wamewasili akiwamo Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai na Naibu wake, Dk Tulia Ackson.
Kadhalika wapo viongozi wa vyama vya upinzani , akiwamo Mbunge wa Moshi Mjini,(Chadema) Jaffar Michael na mbunge wa Iringa,(Chadema) Peter Msigwa.
Rais atashuhudia maandamano ya wafanyakazi wa sekta mbalimbali.

 Mshirikishe Mwenzako: zakacheka.blogspot.com/ www.zakacheka.simplesite.com +255 625966236
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: