Mbwa amzuia mshambuliaji wa kujitoa mhanga Nigeria

Mbwa amzuia mshambuliaji wa kujitoa mhanga Nigeria

  • 5 Aprili 2017
Mbwa amzuia mshambuliaji wa kujitoa mhanga NigeriaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMbwa amzuia mshambuliaji wa kujitoa mhanga Nigeria
Mbwa mmoja aliokoa maisha ya watu wengi wakati ya sherehe ya harusi mjini Maiduguri nchini Nigeria, kwa kushambulia mwanamke moja mshambuliaji wa kujitoa mhanga.
Inaarifiwa kuwa mwanamke huyo alijaribu kuingia katika sherehe hiyo ya harusi, kwa mujibu wa kituo cha redio cha jeshi.
Mbwa huyo pamoja na mshambuliaji wa kujitoa mhanga wote walikufa wakati msichana huyo alilipua bomu alipokuwa akimkimbia mbwa huyo.
Polisi wanasema kuwa mbwa huyo alimilikiwa na mwenyeji ambapo wa eneo mabapo sherehe hiyo ya harusi ilikuwa ikifanyika.
Mbwa amzuia mshambuliaji wa kujitoa mhanga NigeriaHaki miliki ya pichaGOOGLE
Image captionMbwa amzuia mshambuliaji wa kujitoa mhanga Nigeria
Share on Google Plus

ABOUT BLOGGER INJILI HALISI MINISTRY

Hi! I am Zachary John Bequeker, from Mwanza Tanzania, East Africa.I'm a blogger of ZAKACHEKA NEWS LINE And ZAKKACHEKA INJILI.Contact me +255 625966236 / +255 758590489 or mail on zacharybequeker@gmail.com . Thanks!!!

0 Post a Comment: